19 Agosti
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Agosti ni siku ya 231 ya mwaka (ya 232 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 134.
Matukio
- 1458 - Uchaguzi wa Papa Pius II
- 1919 - Nchi ya Afghanistan inapata uhuru kutoka Uingereza
Waliozaliwa
- 1903 - James Gould Cozzens, mwandishi kutoka Marekani
- 1910 - Mtakatifu Alfonsa Matathupadathu, bikira kutoka India
- 1924 - Willard Boyle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2009
- 1931 - Marianne Koch, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 1946 - Bill Clinton, Rais wa Marekani (1993-2001)
- 1969 - Nate Dogg, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1970 - Fat Joe, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1981 - Yvonne Cherrie, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
- 1297 - Mtakatifu Ludoviko askofu, wa shirika la Ndugu Wadogo, kutoka Ufaransa
- 1493 - Kaisari Federiki III wa Ujerumani (1440-1493)
- 1662 - Blaise Pascal, mtaalamu wa hisabati, falsafa na teolojia kutoka Ufaransa
- 1680 - Mtakatifu Yohane Eudes, padri mwanzilishi kutoka Ufaransa
- 1819 - James Watt, mhandisi kutoka Uskoti
- 1994 - Linus Pauling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1962
- 2006 - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 2016 - Shakila Saidi, mwimbaji wa taarabu nchini Tanzania
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Eudes, Magnus wa Anagni, Magino, Timotheo wa Gaza, Andrea na askari wenzake, Papa Sisto III, Donato wa Sisteron, Bertulfi, Sebaldi wa Nurnberg, Bartolomeo wa Simeri, Ludoviko wa Toulouse, Ezekieli Moreno n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |