23 Julai
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Julai ni siku ya 204 ya mwaka (ya 205 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 161.
Matukio
Waliozaliwa
- 1649 - Papa Klementi XI
- 1796 - Franz Berwald, mtunzi wa muziki kutoka Uswidi
- 1892 - Haile Selassie, Mfalme Mkuu wa Ethiopia
- 1906 - Vladimir Prelog, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
- 1951 - Edie McClurg, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1990 - Gracie Carvalho, mwanamitindo kutoka Brazil
Waliofariki
- 1373 - Mtakatifu Birgita wa Uswidi, malkia Mfransisko
- 1885 - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 1916 - William Ramsay, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904
- 1955 - Cordell Hull, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1945
- 1968 - Henry Dale, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936
- 1974 - James Chadwick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1935
- 1994 - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 2001 - Eudora Welty, mwandishi kutoka Marekani
- 2007 - Ernst Otto Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Birgita wa Uswidi, nabii Ezekieli, Severo wa Viza, Yohane Kasiano, Valeriani wa Cimiez n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |