28 Machi
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Machi ni siku ya 87 ya mwaka (ya 88 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 278.
Matukio
Waliozaliwa
- 1840 - Emin Pasha, daktari na mwanasiasa Mjerumani aliyefanya kazi katika Milki ya Osmani
- 1862 - Aristide Briand, Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1926
- 1892 - Corneille Heymans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1938
- 1930 - Jerome Friedman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1990
- 1986 - Lady Gaga, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1994 - Fabrice Kwizera, mwigizaji wa filamu kutoka Burundi
Waliofariki
- 1239 - Go-Toba, mfalme mkuu wa Japani (1183-1198)
- 1285 - Papa Martin IV
- 1881 - Modest Mussorgsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1943 - Sergei Rachmaninoff, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1957 - Jack Butler Yeats, mchoraji kutoka Ireland
- 1969 - Dwight D. Eisenhower, Rais wa Marekani (1953-1961)
- 1982 - William Giauque, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1949
- 2009 - Maurice Jarre, mwanamuziki kutoka Ufaransa
- 2013 - Richard Griffiths, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kastori wa Tarso, Prisko, Malko na Aleksanda, Sirili wa Eliopoli, Proteri, Guntram, Hilarioni Mpya, Stefano Harding, Kono wa Naso, Yosefu Sebastiani Pelczar n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |