753 KK

Makala hii inahusu mwaka 753 KK (kabla ya Kristo).

Matukio

  • 21 Aprili ni tarehe ya kimapokeo ya kuundwa kwa mji wa Roma na ndugu pacha Romulo na Remo. Romulo alimuua Remo na kuwa mfalme wa kwanza wa Roma hadi 715 KK.
  • Mwanzo wa hesabu ya miaka katika kalenda ya Kiroma: "ab urbe condita" =aUC (kwa Kilatini: tangu kuundwa kwa mji)

Waliozaliwa

Waliofariki

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 753 KK kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.