8 Februari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Februari ni siku ya thelathini na tisa ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 326 (327 katika miaka mirefu).
Matukio
- 1716 - Dawit III anatangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kwa jina la Adbar Sagad
Waliozaliwa
- 1720 - Sakuramachi, Mfalme Mkuu wa 115 wa Japani (1735-1747)
- 1911 - Elizabeth Bishop, mshairi kutoka Marekani
- 1924 - Lisel Mueller, mshairi kutoka Marekani
- 1941 - Nick Nolte, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 1537 - Mtakatifu Jeromu Emilian, padre kutoka Italia
- 1725 - Tsar Peter I wa Urusi
- 1918 - Louis Renault, mwanasheria Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1907
- 1936 - Charles Curtis, Kaimu Rais wa Marekani
- 1947 - Mtakatifu Yosefina Bakhita, bikira aliyewahi kuwa mtumwa kutoka Sudan
- 1957 - Walther Bothe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 1975 - Robert Robinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1947
- 1979 - Dennis Gabor, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971
- 1998 - Halldor Laxness, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1955
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Jeromu Emiliani, Yosefina Bakhita, Kointa, Invensyo, Wamonaki wafiadini wa Konstantinopoli, Jakuto, Honorati wa Milano, Niseti wa Besancon, Paulo wa Verdun, Stefano wa Grandmont n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |