Aïn Defla

Aïn Defla ni mji mkuu wa jimbo la Aïn Defla, Algeria. [1]
Historia
Enzi za Dola la Roma mji huo uliitwa Oppidum Novum na mabaki ya Oppidum Novum bado yanaonekana.
Jiji la sasa lilianzishwa katika karne ya 20 na askari aliyeitwa youcef afg wa cheo cha agha, akiwa na wazo la kukusanya watu wa kiasili kutoka vijiji vya mkoa huo.
Eneo hili lisilo tambalale, ambalo lilifikiriwa kuwa sio tulivu kiusalama pia hatari na Wafaransa wakati wa Vita vya Algeria, kwa sababu hio lilitangazwa kuwa eneo lililokatazwa.
Katika miaka ya 1990, mkoa huo huo ulikuwa ngome ya Kikundi cha Waislamu chenye Silaha (GIA). [2] Kulikuwa na mapigano kati ya wanamgambo na wanajeshi wa serikali mnamo Januari 2021 . [3]
Marejeo
- ↑ Répartition de la population résidente des ménages ordinaires et collectifs,selon la commune de résidence et la dispersion.
- ↑ Au moins 11 soldats algériens tués par des islamistes.
- ↑ "In Algerian mountains, army operation shows persistent militant threat". news.yahoo.com. Februari 2, 2021.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aïn Defla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |