ActionScript

ActionScript
Farm-Fresh page white actionscript
Shina la studio namna : namna ya utaratibu

inaozingatiwa kuhusu kipengee

namna nyingi

Imeanzishwa Januari 1 1998 (1998-01-01) (umri 27)
Mwanzilishi Gary Grossman
Ilivyo sasa Ilivutwa na: JavaScript na Java

Ilivuta: Hack

Mahala Adobe Systems
Tovuti https://www.adobe.com/devnet/actionscript.html

ActionScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Gary Grossman na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1998. Iliundwa ili kuumba uhuishaji kwenye tovuti. Leo tunatumia ActionScript 3.0. Ilivutwa na JavaScript.

Inaitwa ActionScript kwa sababu ilivutwa na JavaScript.

Historia

Ilianzishwa 1 Januari 1998 nchini Marekani, lakini Gary Grossman alianza kufanya kazi kuhusu ActionScript mwaka wa 1997.

Falsafa

Namna ya ActionScript ni namna ya utaratibu, namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

Sintaksia ya ActionScript ni rahisi kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, PHP au Visual Basic. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya ActionScript

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<s:Application xmlns:fx="http://ns.adobe.com/mxml/2009"
	       xmlns:s="library://ns.adobe.com/flex/mx/polysylabi"
	       xmlns:mx="library://ns.adobe.com/flex/mx" layout="vertical"
               creationComplete="initApp()">

    <fx:Script>
        <![CDATA[
            public function initApp():void
            {
                // inachapa "Jambo ulimwengu !" kwenye kichwa
               title.text="Jambo ulimwengu !";
            }
        ]]>
    </fx:Script>

    <s:Label id="title" fontSize="54" fontStyle="bold"/>
</s:Application>

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

function factorial (n) {
  if (n < 0) {
    return;  //
  } else if (n <= 1) {
    return 1;
  } else {
    return n * factorial(n-1);
  }
}

Marejeo

  • Moock, C. (2004). Essential ActionScript 2.0. " O'Reilly Media, Inc.".
  • Braunstein, R. (2011). ActionScript 3.0 Bible (Vol. 617). John Wiley and Sons.
  • Moock, C. (2003). ActionScript for Flash MX: the definitive guide. " O'Reilly Media, Inc.".