Aloísio Lorscheider
Aloísio Leo Arlindo Lorscheider, O.F.M. (8 Oktoba 1924 – 23 Desemba 2007) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Brazili. Katika miaka ya 1970 na 1980 alijulikana kama mtetezi wa teolojia ya ukombozi na alionekana na wachambuzi fulani kama mgombea mwenye nafasi kubwa ya kuwa Papa katika mikutano miwili ya uchaguzi wa Papa mwaka 1978.[1]
Marejeo
- ↑ Sandro Magister (19 Agosti 1999). "Tra il papa e il massone non c'è comunione" [There is no communion between the pope and the Mason] (kwa Kiitaliano). L'Espresso.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |