Anders Arborelius

Lars Anders Arborelius OCD (alizaliwa 24 Septemba 1949) ni kardinali wa Kikatoliki kutoka Uswidi.

Amekuwa Askofu wa Stockholm tangu 1998. Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali, akiwa wa kwanza kabisa kutoka Uswidi na Skandinavia kwa jumla, tarehe 28 Juni 2017.[1][2]

Marejeo

  1. Mattsson, Anna (21 Mei 2017). "Anders Arborelius förste svensk att utses till kardinal". Expressen (kwa Kiswidi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2017.{cite news}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Coeli, Regina (21 Mei 2017). "Papa Francesco annuncia la nomina di cinque nuovi cardinali". RaiNews (kwa Kiitaliano). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2017.{cite news}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.