Bacan


Picha kuonesha Kisiwa cha Bacan

Bacan ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Halmahera. Eneo la kisiwa ni 1900 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Labuha. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 60,000. Watu wakaao kisiwani kwa Bacan huongea Kimalay ya Bacan kama lugha ya mawasiliano; hata hivyo kuna lugha nyingi nyingine za asili .

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.