Back to the Future Part II

Back to the Future Part II ni filamu ya bunilizi ya kisayansi ya Marekani ya mwaka 1989 iliyoongozwa na Robert Zemeckis na kuandikwa na Bob Gale. Ni mwendelezo wa filamu ya 1985 Back to the Future. Nyota wa filamu ni Michael J. Fox, Christopher Lloyd, Lea Thompson, na Thomas F. Wilson.