Bedřich Smetana
Bedřich Smetana ( 22 Machi 1824 - 12 Mei 1884) alikuwa mtunzi maaurufu wa opera kutoka katika Jamhuri ya Watu wa Cheki. Naye alikuwa mmoja wa waunzi maarufu wa karne ya 18 na 19-Romantic period.
Muziki wake ulikuwa wa mwundo wa kikwao yaani, Ucheki. Alitunga opera nane zenye kuelezea haditihi za utaifa wa watu wa Cheki. Pia alitunga nyimbo sita ambazo zilikuwa zikisifia nchi yake, moja kati ya nyimbo hizo ni Ma Vlast ambayo inamaana ya “Nchini Kwangu”.
Viungo vya nje
- The Composers of Bohemia
- Smetana ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Free scores na Bedřich Smetana kwenye Werner Icking Music Archive (WIMA)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bedřich Smetana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki | |
---|---|
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber
|