Benjamin Miles "C-Note" Franklin
Uhusika wa Prison Break | |
---|---|
![]() | |
Benjamin Franklin | |
Mwonekano wa kwanza: | Pilot |
Msimu: | 1,2 |
Imechezwa na: | Rockmond Dunbar |
Pia anajulikana kama: | C-Note |
Kazi yake: | Sajenti wa zamani wa Jeshi la US Dereva wa zamani wa gari kubwa |
Familia: | Dede Franklin (binti yake) Darius Morgan (shemeji yake-kaka wa mke wake) |
Mahusiano: | Kacee Franklin (mke wake) |
Benjamin Miles "C-Note" Franklin ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha TV cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Rockmond Dunbar.
Uhusika ulitambulishwa ukiwa kama mfungwa katika sehemu ya kwanza. Mwigizaji alipigiwa debe kama nyota mpya aliotakiwa kupandishwa daraja la wanachama wa kawaida (wahusika wakuu) katikati ya kumaliza msimu wa kwanza.