Blekinge län (Kiswahili: Wilaya ya Blekinge) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi. Makao makuu yako Karlskrona.