Bob Kahn
Robert Elliot "Bob" Kahn (alizaliwa 23 Desemba 1938) ni mhandisi wa umeme wa Marekani.
Pamoja na Vint Cerf, walivumbua Transmittion control protocol (TCP) na itifaki za intaneti (IP) za msingi za mawasiliano ya mtandaoni.
Viungo vya nje
- Wasifu wa Bob Kahn Ilihifadhiwa 17 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- Mahojiano ya Bob Kahn
- Mahojiano ya Bob Kahn(NPR)
- Historia fupi ya Bob Kahn
- Mahojiano ya Bob Kahn
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bob Kahn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |