Bop Bop Baby
“Bop Bop Baby” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya Westlife | |||||
Muundo | CD single | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 4:28 | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
"Bop Bop Baby" Ni wimbo kutoka kwa Westlife, wimbo huu ulitoka kama single mwaka 2002. Wimbo huu uliandikwa na wanakikundu wa bendi hii Shane Filan, Brian McFadden na kutayarishwa na Chris O'Brien na Graham Murphy.
Orodha ya nyimbo
CD ya kwanza ya Uingereza
- "Bop Bop Baby" (Single Remix)
- "You Don't Know"
- "Imaginary Diva" (Orphane Remix)
- "Bop Bop Baby" (CD-ROM video)
CD ya pili ya Uingereza
- "Bop Bop Baby" (Single Remix)
- "Bop Bop Baby" (Almighty Radio Edit)
- "Band Interviews" (Cd-Rom)
CD ya Australia
- "Bop Bop Baby" (Single Remix)
- "Bop Bop Baby" (Almighty Radio Edit)
- "Bad Girls"
- "Band Interviews" (Cd-Rom)
- "Bob Bop Baby" (Video)
Historia ya kutoka
Region | Tarehe |
---|---|
Uingereza | Mei 20, 2002 |
Australia | Julai 2002 |
Umoja wa Ulaya | Juni 2002 |
Orodha ya matamasha
Chati | Ulipata nafasi |
---|---|
Australian Singles Chart | 55 |
Austrian Singles Chart | 28 |
Belgian Singles Chart | 50 |
Denmark Singles chart | 3 |
German Airplay Chart | 59 |
Italian Singles Chart | 45 |
Irish Singles Chart | 4 |
Netherlands Singles Chart | 23 |
New Zealand Singles Chart | 21 |
Swedish Singles Chart | 16 |
Swiss Singles Chart | 36 |
UK Singles Chart | 5 |
UK Radio Airplay Chart | 9 |
Tanbihi:Wimbo huu umeshika nafasi ya kwanza katika baadhi ya redio za nchini Ufilipino.
Video ya Muziki
Mwanzo video hii ilitrakiwa kuongozwa na Vaughn Arnell na ilitakiwa kuwaonesha Westlife wakiwa mbele ya ndege ya nchini humo, lakini baadae video hii iliongozwa na Maz pamoja na Diana na kuwaonesha vijana hawa wakiwa mbele ya pango la jumba la zamani.