Brooklyn
Brooklyn ni moja kati ya sehemu za mji wa New York City. Daraja la Brooklyn ni daraja mshuhuri katika mji wa Brooklyn. Brooklyn ni moja kati sehemu zilizomaarufu sana.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Brooklyn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |