Chizuru Arai
Chizuru Arai (alizaliwa 1 Novemba 1993) ni raia wa Japani aliyeshinda medali ya dhahabu na fedha katika michezo ya Olimpiki ya msimu wa majira ya joto wa mwaka 2020 kwenye kundi la watu wenye uzito wa kilo 70 wa mchezo wa judo uliyohusisha timu mchanganyiko katika hafla hiyo. Chizuru Arai kwa sasa amestaafu Judo.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chizuru Arai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |