Clément Roques
Clément-Émile Roques (8 Desemba 1880 — 4 Septemba 1964) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki.
Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Rennes kuanzia 1940 hadi kifo chake, na alipewa hadhi ya kardinali mwaka 1946 na Papa Pius XII.[1]
Marejeo
- ↑ Jean-Louis Clément Les évêques au temps de Vichy - Page 22 "Mgr Clément Roques, archevêque d'Aix-en-Provence, ..."
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |