Claude Cohen-Tannoudji

Claude Cohen-Tannoudji

Claude Cohen-Tannoudji (amezaliwa 1 Aprili 1933) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa akiwa amezaliwa nchini Algeria. Hasa alichunguza nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1997, pamoja na Steven Chu na William Phillips alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claude Cohen-Tannoudji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.