Coimbra

Coimbra ni mji wa wilaya ya Coimbra, Mkoa wa Kati nchini Ureno wenye wakazi 143,397. Hivyo ni mji wa nne nchini, baada ya Lisboa, Porto na Braga.
Tazama pia
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Coimbra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |