David Archuleta, Emanuel Kiriakou, David Hodges, Steve Kipner, Steve McEwan, Wayne Wilkins, Mike Krompass, Matthew Gerrard, Robbie Nevil, Antonina Armato, Tim James, Midi Mafia, Dapo Torimiro, Desmond Child, Andreas Carlsson, JC Chasez, Jimmy Harry, Eric Rosse.
David Archuleta ni albamu ya kujiita ya mshindi wa American Idol ya msimu wa 7 mshindani David Archuleta.[1] Ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008, nchini Marekani, ikiwa chini ya studio ya Jive Records. Albamu ilitunukiwa Dhahabu na RIAA (kwa kuuza nchi za nje kopi 500,000) mnamo 29 Januari 2009.[2] Single ya kwanza kutoka kwenye albamu hiii ni "Crush", ilitolewa kwenye maredio mnamo tar. 1 Agosti. Albamu ilitolewa nchini Uingereza mnamo tar. 11 Mei mwaka wa 2009.
Orodha ya nyimbo
#
Jina
Mtunzi (wa)
Urefu
1.
"Crush"
J. Cates, D. Hodges, E. Kiriakou
3:32
2.
"Touch My Hand"
S. Kipner, S. McEwan, W. Wilkins
4:21
3.
"Barriers"
S. Kipner, S. McEwan, W. Wilkins
3:50
4.
"My Hands"
Z. Bey, J. Fauntleroy, E. Kiriakou
4:04
5.
"A Little Too Not Over You"
D. Archuleta, M. Gerrard, M. Krompass, R. Nevil
3:18
6.
"You Can"
A. Armato, T. James
3:42
7.
"Running"
J. Fauntleroy, K. Risto, W. Nugent, S. Russell, D. Torimiro
3:35
8.
"Desperate"
A. Carlsson, D. Child, K. Rethwisch, A. Rethwisch
3:41
9.
"To Be with You"
K. DioGuardi, E. Kiriakou
3:25
10.
"Don't Let Go"
D. Archuleta, J. Chasez, J. Harry
3:47
11.
"Your Eyes Don't Lie"
A. Armato, T. James, D. Karaoglu
3:04
12.
"Angels"
G. Chambers, R. Williams
4:09
Toleo la Juu la iTunes na nyimbo za ziada
#
Jina
Mtunzi (wa)
Urefu
13.
"Waiting for Yesterday"
David Hodges, Steven McMorran, Joy Williams
3:27
14.
"Falling"
David Archuleta
4:32
15.
"Let Me Go"
Thomas Meredith, Sheppard Solomon
3:46
16.
"Somebody Out There (pre-order only)"
David Archuleta, Mike Krompass, Steve Diamond
3:42
Toleo la Wal-Mart na nyimbo za ziada
#
Jina
Mtunzi (wa)
Urefu
13.
"Works for Me!"
David Archuleta, Daniel Bedingfield, Toby Lightman
The AOL Sessions 2008·David Archuleta: American Idol EP·Fan Pack EP
Single
"Crush" · "A Little Too Not Over You" · "Touch My Hand"
Single nyingine
"Angels"
Nyimbo nyingine
"I Wanna Know You"
Ziara
American Idols LIVE! Tour 2008 · David Archuleta Solo Tour 2009 · Demi Lovato Summer Tour 2009
Makala zinazohusiana
Diskografia ·American Idol· Jive Records ·Zomba Label Group
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Archuleta (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.