Diego Forlán

Diego Forlán (alizaliwa 19 Mei 1979) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uruguay. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uruguay.
Forlán ameichezea timu ya taifa ya Uruguay tangu mwaka wa 2002. Forlán alicheza Uruguay katika mechi 112, akifunga mabao 36.[1]
Takwimu
Timu ya Taifa ya Uruguay | ||
---|---|---|
Mwaka | Mechi | Magoli |
2002 | 5 | 2 |
2003 | 7 | 5 |
2004 | 11 | 2 |
2005 | 9 | 2 |
2006 | 3 | 0 |
2007 | 9 | 5 |
2008 | 7 | 3 |
2009 | 9 | 3 |
2010 | 11 | 7 |
2011 | 13 | 3 |
2012 | 9 | 1 |
2013 | 14 | 3 |
2014 | 5 | 0 |
Jumla | 112 | 36 |
Tanbihi
- ↑ 1.0 1.1 Diego Forlán at National-Football-Teams.com
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diego Forlán kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |