Dirty Diana
“Dirty Diana” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Bad | |||||
Imetolewa | 1987 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Aina | Hard rock | ||||
Urefu | 4:40 (4:52 on original pressing of Bad) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Dirty Diana" ni jina la kibao kilichotamba sana cha msanii wa rekodi za muziki wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Kibao kilitolewa mnamo mwezi wa Aprili katika mwaka wa 1988. Kibao hiki kina maudhui sawa na yale ya wimbo wake wa awali wa "Beat It" kutoka katika yake ya Thriller. Hiki ndicho kilikuwa kibao chake cha tano na mwisho kutamba kwenye chati za Billboard Hot 100 kutoka kwenye albamu ya 1987, Bad.
Orodha ya nyimbo--
Toleo halisi
- "Dirty Diana" – 4:40
- "Dirty Diana" (Biti) – 4:40
Toleo la Visionary
- CD side
- "Dirty Diana" - 4:40
- "Dirty Diana" (Biti) – 4:40
- Upande wa DVD
- "Dirty Diana" (muziki wa video)
Chati
Chati (1988) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australia | 11 |
Austria | 1 |
Belgium Singles Chart | 1 |
Danish Singles Chart | 3 |
French Singles Chart | 9 |
Irish Singles Chart | 3 |
New Zealand Singles Chart | 5 |
Italian Singles Chart | 6 |
Spanish Singles Chart | 1 |
Swiss Singles Chart | 3[1] |
UK Singles Chart | 4 |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
Austrian Singles Chart | 22 |
Danish Singles Chart | 5 |
German Singles Chart | 22 |
Irish Singles Chart | 27 |
Norwegian Singles Chart | 17 |
Swedish Singles Chart | 29 |
Swiss Singles Chart | 13[1] |
UK Singles Chart | 26 |
Marejeo
- ↑ 1.0 1.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dirty Diana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |