Dodo (ndege)

Dodo

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Columbiformes (Ndege kama njiwa)
Familia: Columbidae (Ndege walio na mnasaba na njiwa)
Nusufamilia: †Raphinae (Ndege wanaofanana na dodo)
Jenasi: Raphus
Brisson, 1760
Spishi: R. cucullatus
(Linnaeus, 1758)
Maeneo yaliyokaliwa na dodo (nyekundu)
Maeneo yaliyokaliwa na dodo (nyekundu)

Dodo (Raphus cucullatus; kutoka Kiing.: dodo) alikuwa moja ya spishi mbili za ndege ya nusufamilia Raphinae katika familia Columbidae. Aliishi kisiwani kwa Morisi na vijisiwa vyake lakini alikwisha mnamo miaka ya 1690. Spishi nyingine ilikuwa njiwa mtembeaji (Pezophaps solitaria) wa kisiwa cha Rodrigues. Jamaa wao aliyeishi hadi sasa ni njiwa wa Nikobari (Caloenas nicobarica; Nicobar pigeon) wa Asia ya Kusini na ya Kusini-Mashariki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dodo (ndege) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.