Dudu Cearense

Dudu Cearense (alizaliwa 15 Aprili 1983) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil, aliwahi kucheza timu ya Taifa ya Brazil.

Dudu ameichezea timu ya Taifa ya Brazil tangu mwaka wa 2004. Dudu alichezea Brazil katika mechi 11.[1]

Takwimu

[1]

Timu ya Taifa ya Brazil
Mwaka Mechi Magoli
2004 4 0
2005 0 0
2006 5 0
2007 2 0
Jumla 11 0

Tanbihi

  1. 1.0 1.1 Dudu Cearense at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dudu Cearense kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.