Ebene City


Ebene City ni mji kwenye kisiwa cha Morisi. Eneo la Ebene limeanzishwa ujenzi mwaka wa 2001, na liko kilomita 15 upande wa kusini wa Port Louis, mji mkuu wa Morisi. Umuhimu wake hasa ni kama sehemu ya kuunganisha waya za mtandao.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ebene City kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.