Ettadhamen
Ettadhamen ni mji wa Tunisia katika wilaya ya Ariana.
Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 196,298 pamoja na mji wa Mnihla. Hivyo ulikuwa mji wa nne kwa ukubwa nchini Tunisia.
Tazama pia
Marejeo
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ettadhamen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |