Everybody Hates Chris

Hii ni logo yao.

Everybody Hates Chris ni safu ya vipindi vya vichekesho vya televisheni kutoka Marekani ambayo imeundwa na Chris Rock na Ali LeRoi na kufanyika kwenye UPN na The CW kuanzia tarehe 22 Septemba 2005 hadi 8 Mei 2009.

Washiriki

  • Tyler James Williams kama Chris
  • Terry Crews kama Julius
  • Tichina Arnold kama Rochelle
  • Tequan Richmond kama Drew
  • Imani Hakim kama Tonya
  • Vincent Martella kama Greg Wuliger

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Everybody Hates Chris kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.