Federiko wa Utrecht
Federiko wa Utrecht (Frisia, leo nchini Uholanzi, 780 hivi – Utrecht, leo nchini Uholanzi, 838 hivi) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 825 hivi hadi alipouawa.
Alikuwa maarufu kwa ujuzi wa Biblia na kwa juhudi katika uinjilishaji. [1].
Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu, pengine mfiadini pia.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 18 Julai[2].
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
Viungo vya nje
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |