Foshan

Mji wa Foshan Nchini China
Foshan
Nchi China
Jimbo Guangdong
Tovuti:  www.foshan.gov.cn

Foshan (kwa Kichina: 佛山市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, kuna wakazi wapatao milioni 3.5 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Foshan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.