Fraser Aird
Fraser Aird (alizaliwa Februari 2, 1995) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Kanada ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Cavalry FC. Aird pia amewahi kuchezea timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Kanada.[1][2]
Marejeo
- ↑ "Family pride at stake for Rangers' starlet Fraser Aird as dad flies in". The Scotsman. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2012.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Steckham, Rebecca (20 Oktoba 2012). "Born to be a Ranger". Toronto Observer. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2019.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fraser Aird kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |