Funchal
Funchal | |||
| |||
Majiranukta: 32°39′04″N 16°54′35″E / 32.65111°N 16.90972°E | |||
Nchi | Ureno | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Madeira | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 100,847 | ||
Tovuti: http://www.cm-funchal.pt/cmf/ |
Funchal ni makao makuu wa visiwa vya Madeira ikiwa kwenye kisiwa kikuu kinachoitwa Madeira pia. Vilevile makao makuu ya wilaya ya Funchal. Madeira ni funguvisiwa la Kireno katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki.
Maana ya neno "funchal" ni "shamari" - kwa sababu shamari ilipatikana kwa wingi wakati Wareno walipofika kisiwani mara ya kwanza.
Mji una wakazi 45,000; ni zaidi ya lakhi moja pamoja na mitaa ya nje. Funchal ilikua pamoja na utalii wa watu tajiri. Kuna chuo kikuu "Universidade da Madeira".
Wilaya ya Funchal ina visiwa vya Porto Santo, Ilhas Desertas na Ilhas Selvagens pamoja na Madeira yenyewe.
Picha
-
Soko la Mercado dos Lavradores
-
Ramani ya wilaya ya Funchal
-
Kisiwa cha Madeira
-
Divai ya Madeira katika pipa za ubao
-
Kasino
-
Stempu ya 25 reis ya mwaka 1892 iliyotumika 1894
Tazama pia
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Funchal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |