Gabriel Lippmann

Gabriel Lippmann

Gabriel Lippmann (16 Agosti 184513 Julai 1921) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza taalamu ya kupiga picha kwa rangi. Mwaka wa 1908 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Lippmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.