Gari mseto

Gari mseto ni gari ambalo hutumia vyanzo viwili au zaidi vya nishati ili kuongeza ufanisi wa mafuta na nishati.

Kwa mfano, magari ya umeme ya mseto hutumia mota ya umeme kwa torque na injini ya mwako kwa kasi ya juu. Faida zake ni ufanisi bora, uchafuzi mdogo wa mazingira, na gharama ndogo za uendeshaji[1].

Tanbihi

  1. Fuchs, Andreas (1999). Velomobile Seminar. Future Bike Switzerland, J. Hölzle. ISBN 978-3-9520694-1-7. Iliwekwa mnamo 2006-01-11.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.