Goole
Goole ni mji wa bandari na parokia ya kiraia uliopo kwenye Mto Ouse, katika eneo la East Riding, Yorkshire, England. Kaunti ya kihistoria ya mji huu ni West Riding, Yorkshire[1].
Tanbihii
![]() | Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|