Henryk Sienkiewicz
Henryk Adam Aleksander Pius Sienkiewicz (5 Mei 1846 – 15 Novemba 1916) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Poland.
Riwaya zake zilikuwa hupendwa sana na watu wengi. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henryk Sienkiewicz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |