Hifadhi ya Kitaifa ya Sahamalaza

ramani ya hifadhi ya taifa Sahamalaza
ramani ya hifadhi ya taifa Sahamalaza

Hifadhi ya Kitaifa ya Sahamalaza iko katika sehemu ya kaskazini-magharibi ya Madagaska katika mkoa wa Sofia, yenye hekta 26035.

Jiografia

Iko karibu na Ambanja katika Wilaya ya Ambanja ( Mkoa wa Diana ) na Analalava (mkoa wa Sofia).[1]

Picha

Marejeo

  1. Brun, L. Estelle; Gaudence, Djego J.; Gibigaye, Moussa; Tente, Brice (2018-04-30). "Dynamique De L'occupation Du Sol Dans Les Zones Humides De La Commune D'allada Au Sud-Benin (Sites Ramsar 1017 Et 1018)". European Scientific Journal, ESJ. 14 (12): 59. doi:10.19044/esj.2018.v14n12p59. ISSN 1857-7431.