Hifadhi ya Burigi-Chato
Hifadhi ya Burigi-Chato ipo katika mikoa miwili ambayo ni Kagera na Geita, ndani ya wilaya za Karagwe, Biharamulo, Muleba na Chato, kaskazini magharibi mwa Tanzania[1].
Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 4707.
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ "Burigi-Chato National Park". Tanzania National parks. Iliwekwa mnamo 2023-08-01.