I'm Sprung

“I'm Sprung”
“I'm Sprung” cover
Single ya T-Pain
kutoka katika albamu ya Rappa Ternt Sanga
Imetolewa 16 Agosti 2005
Muundo Digital download, CD Single
Imerekodiwa 2005
Aina R&B, hip hop
Urefu 3:51
Studio Konvict Muzik/Jive Records
Mtunzi Faheem Najm
Mtayarishaji T-Pain
Certification Platinum (RIAA)
Mwenendo wa single za T-Pain
"I'm Sprung"
(2005)
"I'm n Luv (Wit a Stripper)"
(2005)

"I'm Sprung" ni wimbo wa R&B ulioimbwa na kutayarishwa na mtayarishaji/mwimbaji-mtunzi T-Pain na kibao cha kwanza kutoka katika albamu yake ya kwanza ya Rappa Ternt Sanga. Wimbo huu aliutunga kwa ajili ya mke wake kipenzi Bi. Amber.

Nafasi ya Chati

Chati (2005) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 8
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 9
U.S. Billboard Pop 100 17
UK Singles Chart 30
Chati (2006)[1][2] Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 37
Finnish Singles Chart 11
Irish Singles Chart 34
New Zealand Singles Chart 11

Marejeo