"If It's Over" ni wimbo ulioandikwa na mwandishi wa Kiingereza ambaye pia ni mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Carole King na pia wimbo huu uliandaliwa na Carey mwenyewe kwa kushirikiana an Walter Afanasieff kwa ajili ya albamu ya pili ya Mariah, iliyojulikana kwa jina la Emotions iliyotoka mwaka 1991. Kati auandaaji wa albamu hii, King alishauri kuwa, ingekuwa vema kama Mariah angerudia wimbo wake wa "(You Make Me Feel Like) A Natural Woman", Lakini Mariah alikataa na kusema anapendelea kuandika nyimbo zake mwenyewe, na pia alidai kushindwa kufikia kiwango cha wimbo huo.
Miezi michache baada ya kutoka kwa albamu ya Emotions, Carey aliuimba wimbo huo katika kipindi cha televisheni cha MTV Unpugged kama wimbo wa pili kutoka katika orodha ya nyimbo zake. Nyimbo zake kutoka katika albamuh hi ziliweza kufanya vizuri nchini Marekani na katika albamu nzima nyimbo sita ziliweza kufika katika nafasi ya kwanza.
Kuhusu wimbo
japokuwa wimbo huu ukiandikwa na Mariah Carey akishirikiana na Carole King, lakini kuna kila dalili kuwa wimbo huu umefuata miondoko na baadhi ya maudhui kutoka katika wimbo wa Saturday Night Live .
Number 1's (1998) ·Valentines (2000) ·Greatest Hits (2001) ·The Remixes (2003) ·The Ballads (2008) ·Playlist: The Very Best of Mariah Carey (2010) ·Angels Advocate (2010)
Albamu za live
MTV Unplugged (1992)
Kompilesheni za video
The First Vision (1991) ·MTV Unplugged +3 (1992) ·Here Is Mariah Carey (1993) ·Fantasy: Mariah Carey at Madison Square Garden (1996) ·Around the World (1998) ·#1's (1999) ·The Adventures of Mimi (2007)
Ziara
Music Box Tour (1993) · Daydream World Tour (1996) · Butterfly World Tour (1998) · Rainbow World Tour (2000) · Charmbracelet World Tour (2003-2004) · The Adventures of Mimi Tour (2006) · Angels Advocate Tour (2009/2010)