Inspectah Deck

Inspectah Deck
Deck, mjini Paris, mnamo 2013
Deck, mjini Paris, mnamo 2013
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Jason Hunter
Pia anajulikana kama Rebel INS, Rollie Fingers, Fifth Brother, Ayatollah, Manifesto, Charliehorse
Amezaliwa 6 Julai 1970 (1970-07-06) (umri 54)
Asili yake The Bronx, New York City, New York
Aina ya muziki Hip Hop
Kazi yake Rapa, mtayarishaji, mwigizaji
Miaka ya kazi 1989 - hadi sasa
Studio Loud, Relativity, Koch, Urban Icon Records
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan
The Housegang


Jason Hunter (amezaliwa tar. 6 Julai 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop, rapa, mtayarishaji, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Inspectah Deck (pia anajulikana kama Rebel INS). Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la Wu-Tang Clan. Pia anajulikana kwa staili ya ushairi wake, kwa bahati mbaya, hakuambulia mafanikio mazuri ya kibiashara katika kazi zake za kujitegemea kama jinsi walivyopata wenzi wake kama vile Ghostface Killah au Method Man[1], ingawa bado anaendelea kuheshimiwa na kuendelea kutoa maujanja mapya kibao.

Diskografia

Albamu

Mwaka Jina Chati[2][3] Matunukio ya RIAA[4]
U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Rap
1999 Uncontrolled Substance 19 3 US: Gold[6]
2003 The Movement 137 29 -
2006 The Resident Patient - - -
2008 The Resident Patient 2
  • Imetolewa: 2008
  • Studio: Urban Icon Records

Ameonekana kwenye

Mwaka Mwonekano[7]
1994 "Mr. Sandman"
1995 "Cold World"
  • Albamu: Liquid Swords
  • Wasanii Wengine: GZA
"Duel of the Iron Mic"
  • Albamu: Liquid Swords
  • Wasanii Wengine: GZA, Ol'Dirty Bastard Masta Killa
"Guillotine (Swordz)"
  • Albamu: Only Built 4 Cuban Linx
  • Wasanii Wengine: Raekwon, GZA, Ghostface Killah
1996 "Assassination Day"
  • Albamu: Ironman
  • Wasanii Wengine: RZA, Raekwon, Masta Killa
"Semi-Automatic Rap Full Metal Jacket"
  • Albamu: High School High Soundtrack
  • Wasanii Wengine: U-God, Street Life
1998 "Wu-Tang Cream Team Line Up"
  • Albamu: 60 Minutes of Funk Vol. III
  • Wasanii Wengine: Raekwon, Harlem Hoodz, Killa Sin, Method Man
"One More to Go (The Earthquake)
  • Albamu: Antidote
  • Wasanii Wengine: Deadly Venoms, GZA, Method Man, Street Life, Cappadonna
"Tres Leches (Triboro Trilogy)"
  • Albamu: Capital Punishment
  • Wasanii Wengine: Big Pun, Prodigy
"Cross My Heart"
  • Albamu: Heavy Mental
  • Wasanii Wengine: Killah Priest, GZA
"Above the Clouds"
  • Albamu: Moment of Truth
  • Wasanii Wengine: Gang Starr
"S.O.S."
  • Albamu: Wu-Tang Killa Bees: The Swarm
  • Wasanii Wengine: Street Life
"Tru Master"
  • Albamu: Soul Survivor
  • Wasanii Wengine: Pete Rock, Kurupt
"Play IV Keeps"
  • Albamu: Tical 2000: Judgement Day
  • Wasanii Wengine: Method Man, Hell Razah, Mobb Deep, Street Life
"Spazzola"
  • Album: Tical 2000: Judgement Day
  • Wasanii Wengine: Method Man, Masta Killa, Street Life, Killa Sin, Raekwon
1999 "Rumble"
  • Albamu: Golden Arms Redemption
  • Wasanii Wengine: U-God, Method Man
"Make Cents"
  • Albamu: (single)
  • Wasanii Wengine: I.G.T.
"Forget Me Nots"
  • Albamu: (single)
  • Wasanii Wengine: N/A
2000 "The Authentic (Street)"
  • Albamu: (single)
  • Wasanii Wengine: Ruthless Bastards
"Verbal Slaughter"
  • Albamu: The Last Shall Be First
  • Wasanii Wengine: The Dwellas
2001 "Speaking Real Words"
  • Albamu: The Soul Purpose
  • Wasanii Wengine: 7L & Esoteric
2002 "X (Y'all Know the Name)"
  • Albamu: Built From Scratch
  • Wasanii Wengine: X-Ecutioners, Pharoahe Monch, Skillz, Xzibit
"Sparring Minds"
  • Albamu: Legend of the Liquid Sword
  • Wasanii Wengine: GZA
"Killa Beez"
  • Albamu: Wu-Tang Killa Beez: The Sting
  • Wasanii Wengine: RZA, U-God, Suga Bang Bang, Blue Raspberry
"Get Away From the Door"
"Bump and Grind"
  • Albamu: Party Breaks
  • Wasanii Wengine: Fat Man Scoop
"Always NY"
  • Albamu: Love, Hell or Right
  • Wasanii Wengine: Mathematics
2004 "Street Rap"
  • Albamu: White Sunday
  • Wasanii Wengine: Mareko
"Silverbacks"
  • Albamu: No Said Date
  • Wasanii Wengine: Masta Killa, GZA
2005 "A Star is Born"
  • Albamu: Street Education
  • Wasanii Wengine: Street Life
"On a Mission"
  • Albamu: Around the World
  • Wasanii Wengine: YOR123 & Skandaali
"A Ha (Remix)"
  • Albamu: Tale #10
  • Wasanii Wengine: Mos Def
"Strawberries & Cream"
  • Albamu: The Problem
  • Wasanii Wengine: Mathematics, Ghostface Killah, RZA
"Spot Lite"
  • Albamu: The Problem
  • Wasanii Wengine: Mathematics, Method Man, U-God, Cappadonna
2006 "Move Unheard"
  • Albamu: (single)
  • Wasanii Wengine: Cappadonna, Joe Young
"Everything"
  • Albamu: 4:21... The Day After
  • Wasanii Wengine: Method Man, Street Life
"9 Milli Bros."
"Street Corner"
  • Album: Made in Brooklyn
  • Wasanii Wengine: Masta Killa, GZA
2007 "Piece of the Pie"
  • Albamu: Freakshow Vol 1 : Tales of The Travelling Tunes
  • Wasanii Wengine: Pop Shuvit
"I Don't Wanna Go Back"
  • Albamu: Gorilla Street Gang
  • Wasanii Wengine: Joe Young
"Rap Burglars"
  • Albamu: Wu-Tang Clan & Friends: UnImetolewa
  • Wasanii Wengine: Raekwon
2008 "You Can't Stop Me Now"
  • Albamu: Digi Snacks
  • Wasanii Wengine: RZA
2009 "You Already Know"
  • Albamu: The RZA Presents: Afro Samurai Resurrection OST
  • Wasanii Wengine: Kool G. Rap, Suga Bang Bang
"Kill Too Hard"
  • Albamu: Wu-Tang Chamber Music
  • Wasanii Wengine: U-God, Masta Ace
"Harbor Masters"
  • Albamu: Wu-Tang Chamber Music
  • Wasanii Wengine: Ghostface Killah, AZ
"Sound the Horns"
  • Albamu: Wu-Tang Chamber Music
  • Wasanii Wengine: Sadat X, U-God
"Symphonies"
  • Albamu: The Symphony
  • Wasanii Wengine: Phil Anastasia
"House of Flying Daggers"
  • Albamu: Only Built 4 Cuban Linx II
  • Wasanii Wengine: Raekwon, Ghostface Killah, Method Man & GZA
"Black Mozart"
  • Albamu: Only Built 4 Cuban Linx II
  • Wasanii Wengine: Raekwon
"Mean Streets"
  • Albamu: Only Built 4 Cuban Linx II
  • Wasanii Wengine: Raekwon
"Kiss The Ring"
  • Albamu: Only Built 4 Cuban Linx II
  • Wasanii Wengine: Raekwon, Masta Killa

Marejeo

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-11. Iliwekwa mnamo 2009-11-05.
  2. Billboard chartings. Accessed 29 Oktoba 2007.
  3. UK Album chartings. Accessed 10 Novemba 2007.
  4. Searchable Database. RIAA. Accessed 29 Oktoba 2007.
  5. allmusic ((( Uncontrolled Substance > Overview ))). Accessed 22 Agosti 2008
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-18. Iliwekwa mnamo 2009-11-05.
  7. [1]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Inspectah Deck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.