Ismaël Koné

Ismaël Kenneth Jordan Koné (alizaliwa Juni 16, 2002) ni mchezaji wa soka wa kulipwa anayecheza kama kiungo katika klabu ya Marseille. Alizaliwa nchini Kodivaa, lakini anaiwakilisha Timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Kanada katika ngazi ya kimataifa.[1] [1]
Marejeo
- ↑ 1.0 1.1 Bogert, Tom (Agosti 13, 2021). "CF Montréal sign midfielder Ismael Kone". Major League Soccer.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ismaël Koné kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |