János Scitovszky

János Keresztély Scitovszky de Nagykér (1 Novemba 178519 Oktoba 1866) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Hungaria, Kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Esztergom na Mkuu wa Kanisa Katoliki la Hungaria.[1]

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.