Jan II Casimir Vasa

Picha ya baada ya kifo na Bacciarelli, karne ya 18

Jan II Casimir Vasa (22 Machi 160916 Desemba 1672) alikuwa Mfalme wa Polandi na Mtemi wa Lithuania kuanzia mwaka 1648 hadi alipojiuzulu mnamo 1668. Aidha, alikuwa mgombea wa kiti cha ufalme wa Uswidi kati ya miaka 1648 na 1660.

Alikuwa mtoto wa kwanza wa Sigismund III Vasa na mke wake wa pili, Constance wa Austria. Jan II Casimir alirithi kiti cha kifalme kutoka kwa kaka yake wa kambo, Władysław IV Vasa.[1][2]

Alivyochorwa na Daniel Schultz.

Marejeo

  1. "Jan Kazimierz". Sciaga.pl (kwa Kipolandi). Iliwekwa mnamo 2018-10-01.
  2. "Historical Collections of the Vilnius University Library – MANUSCRIPTS". UNESCO. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Julai 2009. Iliwekwa mnamo 20 Juni 2009.{cite web}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jan II Casimir Vasa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.