Jean-Baptiste Urrutia

Jean-Baptiste Urrutia (6 Novemba 190115 Januari 1979) alikuwa askofu mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa huko Vietnam katika Shirika la Misheni za Kigeni za Paris.

Alikuwa miongoni mwa wahudhuriaji wa Mtaguso wa Pili wa Vatikani.[1]

Marejeo

  1. Archives of the Foreign Missions Society
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.