Jenesi wa Clermont

Sanamu yake.

Jenesi wa Clermont (kwa Kilatini: Genesius; kwa Kifaransa: Genes; alifariki Clermont-Ferrand, Ufaransa wa leo, 662 hivi) alikuwa askofu wa 21 wa mji huo, katika mkoa wa Akwitania, kuanzia mwaka 656 hadi kifo chake[1][2].

Pamoja na kupigania maadili, alijenga monasteri ikiwa na hoteli na kanisa alipozikwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3] .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Juni[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.