Jeremy Fisher

Jeremy Fisher (alizaliwa Jeremy Binns; 15 Disemba 1976) ni mwandishi wa nyimbo na mwanamuziki kutoka Kanada.

Fisher anaishi Ottawa, Ontario, na awali aliishi Visiwa vya Vancouver, B.C., Montreal, Quebec, na Seattle, Washington, Marekani.[1]

Marejeo

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeremy Fisher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.