Jimbo la Lacs
Jimbo la Lacs | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 7°3′8″N 4°26′30″W / 7.05222°N 4.44167°W | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,258,604[1] |
Jimbo la Lacs (kwa Kifaransa: District des Lacs) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko kitovu cha nchi[1].
Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,258,604[1].
Makao makuu yako Dimbokro.
Mikoa
- Mkoa wa Bélier (Yamoussoukro)
- Mkoa wa Iffou (Daoukro)
- Mkoa wa Moronou (Bongouanou)
- Mkoa wa N'Zi (Dimbokro)
Marejeo
- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.