Jimbo la Bas-Sassandra
Jimbo la Bas-Sassandra | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 5°21′8″N 6°40′36″W / 5.35222°N 6.67667°W | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Bas-Sassandra |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,280,548[1] |
Jimbo la Bas-Sassandra (kwa Kifaransa: District du Bas-Sassandra) ni moja kati ya Majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko Kusini magharibi mwa nchi[1].
Mwaka 2014 (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014), idadi ya wakazi ilikuwa watu 2,280,548[1].
Makao makuu yako San-Pédro.
Mikoa
Marejeo
- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo Juni 12, 2019.